Author: Jamhuri
CoRI yakutana na kujadili mpangokazi kuelekea uchaguzi mkuu
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Umoja wa Haki ya Kupata Taarifa (CoRI) umekutana kujadili masuala muhimu matatu, likiwemo kusaini makubaliano ya kiutendaji (MoU) yanayolenga kuimarisha kazi za umoja huo kuelekea uchaguzi mkuu mwaka huu. Katika kikao hicho, CoRI…
Pinda : Msikubali kuhaidiwa na viongozi wanaotafuta madaraka kwa kuta rushwa
Waziri Mkuu mstaafu Mizengo Pinda ametoa mwito kwa wananchi wasikubali kuhadaiwa na viongozi wanaotafuta madaraka kwa kutoa rushwa. Alisema hayo jana wakati akitoa salamu za pole kwa familia ya aliyewahi kuwa Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais, Cleopa…
Dk. Malasusa : Hayati Cleopa Msuya alikuwa mtu wa amani na hekima
Na Kija Elias, JamhuriMedia, Mwanga Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Alex Malasusa, amemzungumzia hayati Cleopa Msuya kama mzee wa hekima, busara, na upendo, ambaye alijitahidi kuwa na amani na watu wote. Dk. Malasusa alisema…
Askofu Mono: Shikeni na kuyaenzi mambo makuu manne aliyoyaacha Msuya
Askofu mteule wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Mwanga, Daniel Mono amewataka wananchi wa Wilaya ya Mwanga kuyashika na kuyaenzi mambo makuu manne aliyoyaacha Cleopa Msuya. Askofu Mono amesema Wilaya ya Mwanga ilipata kiongozi na mbunge…
RC Babu : Taifa litakumbua Cleopa Msuya wa unyenyevu, uchapakazi
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu amesema taifa litamkumbuka Cleopa Msuya kwa unyenyekevu, uchapakazi na hakuwa na majivuno. Babu alisema hayo wilayani Mwanga jana wakati akitoa salamu za mkoa kwenye misa ya kuaga mwili wa Cleopa Msuya aliyekuwa Mbunge…
Rais Mwinyi ahudhuria kisomo cha hitma na dua kumuombea marehemu Salimni Amour Juma Masjid Jamiu Z’bar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi,akisalimiana na kutowa mkono wa pole kwa Familia ya Rais Mstaafu wa Zanzibar Alhajj Dkt.Salmini Amour Juma, baada ya kumalizika kwa kisomo cha hitma na dua ya kumuombea…




