JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

CPA Subira Mgalu amuangusha Mkenge Bagamoyo, apata kura 3,544

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha Katika zoezi la kupiga kura za maoni kwa ajili ya kumpata mgombea wa Ubunge wa Jimbo la Bagamoyo , kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM),aliyekuwa Mbunge viti maalum mkoani Pwani, CPA Subira Mgalu ameongoza kwa kupata…

Rais Samia atoa ruzuku ya bilioni 9.4/- kwenye majiko banifu

Wakala wa Nishati Vijijini (REA) unatekeleza Mradi wa shilingi 9,400,799,626.7 wa kusambaza majiko yaliyoboreshwa maarufu kama majiko banifu 200,000 kwa bei ya ruzuku ya asilimia 80 hadi 85 kote nchini. Hayo yamesemwa Agosti 4, 2025 na mwakilishi wa REA Mkoani…

Ugonjwa wa vikope watokomezwa kwenye halmashauri 64 nchini

Na WAF, Dodoma SERIKALI kwa kushirikina na Shirika la Kimataifa la Ujerumani Hellen Keller, imewatibu wagonjwa wa vikope na kutoa tiba ya upasuaji wa mtoto wa jicho kwa watu wapatao 100,000 katika Halmashauri 64 nchini. Mganga Mkuu wa Serikali Dkt.Grace…

Nyota ya Makonda yang’ara Arusha Mjini

Na Zulfa Mfinanga, JamhuriMedia, Arusha Paul Christian Makonda ameibuka mshindi wa nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kwa kupata kura 9,056 ambazo ni sawa na asilimia 97.63 ya kura zote halali. Ushindi huu unamuweka mbele kwa kiasi kikubwa…

Bakari Kimwanga aibuka kidedea udiwani kata ya Makurumla kwa kura 467

Bakari Kimwanga ambaye alikuwa anatetea nafasi yake ya udiwani kata ya Makurumla Mkoa wa Dar ea Salaam amefanikiwa kurejea tena kwa kupata kura 467 ambapo Rajab Suleiman Hassan alipata kura 344 na Idd Shaban Taletale ameambulia kura 18. Kati ya…