JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Hali mjini Goma bado ni tete: UN

Waasi wa M23 wamesema wameukamata mji wa Goma mashariki mwa Kongo. Hakujawa na uthibitisho kutoka kwa jeshi la Kongo au serikali mjini Kinshasa kwamba mji huo mkuu wa mkoa wa Kivu Kaskazini umekamatwa na waasi. Muungano wa waasi unaoongozwa na…

Mapigano yaanza tena mjini Goma, Mashariki mwa DRC

Goma, mji mkuu wa Kivu Kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, umekuwa ukikumbwa na hali ya taharuki na wasiwasi mkubwa baada ya kundi la waasi la M23, linaloripotiwa kupata msaada wa kijeshi kutoka Rwanda, kuingia katika mji huo….

Congo kuimarisha usalama Goma

Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo inasema inajitahidi kuepusha mauaji mjini Goma, lakini haitaachia eneo lolote baada ya waasi wa M23 kudai kwamba wameuteka mji huo. Katika taarifa kwenye mtandao wa X, Waziri wa Mawasiliano Patrick Muyaya aliwataka watu…

UN kujadili hali ilivyo DRC

Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo inasema kikao cha pili cha Baraza la Usalama la ()UN kitafanyika kujadili mgogoro unaoendelea katika mkoa wake wa mashariki. Mkutano mpya ulioitishwa na viongozi wa Kongo unafuatia mapigano ya kundi la waasi la M23 huko…

EAC kujadili mgogoro wa DR Congo

RAIS  wa Kenya William Ruto ametangaza kuwa mkutano wa kilele wa Jumuiya ya Kanda ya Afrika Mashariki (EAC) utawajumuisha viongozi kutoka Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), kujadili hatua za kuchukua katika kutafuta suluhu ya mgogoro unaoendelea katika…