JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Manispaa ya Mji Kibaha kufungua shule mpya tatu za sekondari -Dk Shemwelekwa

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha MANISPAA ya Mji Kibaha, mkoani Pwani Pwani, imejipanga kufungua shule mpya tatu za sekondari na kununua madawati 2,000 ikiwa ni miongoni mwa maandalizi ya kupokea wanafunzi wa kidato cha kwanza mwaka 2026. Mkurugenzi wa Manispaa…

Jumuiya ya Wazazi yaeleza sababu Samia kuchaguliwa

Na Kulwa Karedia, Jamhuri Media-Kigoma Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi Taifa imeleeza sababu za mgombea urais wa chama hicho, Samia Suluhu Hassan kushinda uchaguzi mkuu ujao. Imesema sababu kubwa ni maendeleo makubwa yanayoonekana maeneo mbalimbali. Akizungumza wakati wa…

Serukamba: Kigoma tumchague Samia

Na Mwandishi Jamhuri Media, Kigoma Mgombea bunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, Peter Serukamba, ametoa wito kwa wananchi wa Kigoma kumchagua mgombea urais wa chama hicho, Samia Suluhu Hassan. Amesema hatua hiyo inatokana na kumpa kura Rais Samia kupeleka maendeleo…

Baba Levo aunguruma kampeni za Samia, asema mfupa mgumu kwake ni kama biskuti

Na Kulwa Karedia, Jamhuri Media- Kigoma Mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, Clayton Chipando maarufu Baba Levo (CCM), ameunguruma mbele ya mgombea urais wa chama hicho, Samia Suluhu Hassan. Akitunia.zaidi ya dakika 11 jukwaani, ameshusha mambo mazito kuhusu Jimbo…

Waziri Katimba aeleza mafanikio ya Rais Samia

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Kigoma Mgombea ubunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora na Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Zainabu Katimba, amewaomba wananchi wa Kigoma kumpa kura Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na…

Tanzania, Algeria kushirikiana katika upatikanaji dawa salama

Tanzania na Algeria zimekubaliana kushirikiana katika kuboresha uhusiano kwenye upatikanaji na uzalishaji wa dawa zenye usalama, ubora na ufanisi katika nchi hizo. Hayo yamebainishwa na Waziri wa Dawa nchini Algeria alipokutana na kufanya mazungumzo na ujumbe wa Wizara ya Afya…