Author: Jamhuri
CCM yahimiza mshikamano vyama vya ukombozi
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema ni muhimu kukuza ushirikiano na mshikamano wa vyama sita rafiki vya ukombozi Afrika. Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Mizengo Pinda alisema hayo akimwakilisha Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais Samia…
Marekani, Umoja wa Ulaya zafikia makubaliano ya ushuru
Marekani na Umoja wa Ulaya zimefikia makubaliano ya kibiashara yanayoshusha ushuru kwa bidhaa za Ulaya hadi asilimia 15 kutoka kitisho cha awali cha Rais Donald Trump cha asilimia 30. Trump na Rais wa Kamisheni ya Ulaya, Ursula von der Leyen,…
Urusi yaimiminia tena Ukraine ‘mvua ya droni’
Jeshi nchini Ukraine liliwasha ving’ora vya tahadhari kwenye maeneo mengi ya nchi hiyo kufuatia mashambulizi mengine makubwa ya droni kutoka Urusi usiku wa kuamkia Jumatatu (Julai 28). Kwa mujibu wa jeshi, wakaazi wa mji mkuu, Kiev, na maeneo mengine walitakiwa…
Waziri Kombo ataka mikakati endelevu ya kisekta kuimarisha mifumo ya chakula kimataifa
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amesisitiza umuhimu wa kuchukua hatua madhubuti na za pamoja katika kuimarisha mifumo ya chakula ili kuhakikisha ushiriki endelevu wa Tanzania katika ajenda za maendeleo ya…
CRDB yapongezwa kwa kuwajengea uwezo wajasiriamali kupitia mafunzo ya kidijitali
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam KATIBU Tawala wa Wilaya ya Ilala, Charangwa Makwiro, ameipongeza Benki ya CRDB kwa juhudi zake katika kuwawezesha wajasiriamali kupitia mafunzo ya teknolojia na matumizi ya mitandao ya kijamii katika kuendesha biashara. Akizungumza kwa…
Hii hapa ratiba ya uteuzi wa wagombea, kampeni na uchaguzi mkuu
Ratiba ya uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 imetoka ambapo kuanzia tarehe 09-27 Agosti itakuwa ni zoezi la kuchukua fomu za uteuzi kugombea kiti cha Urais na Makamu wa Rais. Tarehe 14-27 Agosti zitakuwa ni tarehe za kuchukua fomu za uteuzi…