Author: Jamhuri
Aliyekuwa rais wa zamani wa Marekani Bill Clinton alazwa hospitalini
Rais wa zamani wa Marekani Bill Clinton amelazwa hospitalini baada ya kupata homa, kwa mujibu wa msemaji wa chama cha Democrat. “Anasalia katika hali nzuri na anathamini sana utunzaji bora anaopokea,” Angel Ureña aliandika kwenye X, iliyokuwa Twitter. Alisema Clinton…
Israel yakiri kumuua Ismail Haniyeh
Waziri wa Ulinzi wa Israel, Israel Katz amekiri Israel kuhusika na mauaji ya kiongozi wa kisiasa wa Hamas Ismail Haniyeh mjini Tehran mwezi Julai. Israel Katz alitoa maoni hayo katika hotuba yake akiahidi kuwalenga wakuu wa vuguvugu la Houthi linaloungwa…
Mwinyi: SMZ itaendelea kuleta mageuzi katika Mahakama
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaendelea kuungamkono juhudi za Muhimili wa Mahkama zenye lengo la kuleta mageuzi makubwa katika miundombinu ya majengo ya Mahakama. Rais Dk Mwinyi ameyasema hayo alipoweka…
Benki ya Dunia, SADC zampa tano Rais Samia
Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa fedha kwa ajili ya…
Kuelekea msimu wa sikukuu wazazi, walezi watakiwa kuwajibika kwenye malezi ya watoto
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Chama Cha Wanaume Wazee Mkoa wa Dodoma kimewanyooshea vidole Wazazi na walezi ambao hawawajibiki katika malezi ya watoto kwenye ngazi za familia na kueleza kuwa hali hiyo inachangia kukithiri kwa vitendo vya mmonyoko wa maadili pamoja na…