Author: Jamhuri
Lissu arejeshwa Gerezani hadi Juni 2, kesi kusikilizwa kwa njia ya kawaida
– Mahakama yasema kesi kuendelea kusikilizwa kwa njia ya kawaida Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amerejeshwa rumande hadi Juni 2, 2025, baada ya kesi yake ya uhaini na…
Wizara ya Maliasili na Utalii kununua ndege nyuki 12, kufuatilia mienendo ya wanyapori
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma WIZARA ya Maliasili na Utalii itaendelea kutumia teknolojia katika kukabiliana na wanyamapori wakali na waharibifu kwa kununua ndege nyuki (drones) 12 na mikanda maalum ya mawasiliano 50 (GPS Satellite Collars) kwa ajili ya ufuatiliaji wa…
Wachimbaji 17 wafukiwa na kifusi machimbo ya Mwakitolyo, sita wafariki
Na Patrick Mabula , Shinyanga Wachimbaji wadogowadogo wa dhahabu wapatao sita wamefariki dunia na wengine 11 kunusurika baada ya kufikiwa na kifusi kwenye machimbo ya dhahabu ya Mwakitolyo , halmashauri ya Shinyanga. Watu hao walifukiwa katika machimbo ya Mwakitolyo namba…





