JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Iran yaishambulia Israel kwa makombora 180

Iran imeishambulia Israel kwa makombora kadhaa na kuongeza joto katika mzozo wa miezi kadhaa baina ya Israel na makundi yanayoungwa mkono na Iran ya Hamas na Hezbollah. Msemaji wa jeshi la Israel Daniel Hagari amesema shambulizi la makombora kiasi 180…

Mbunge Viti Maalum Mariam Nyoka aunga mkono jitihada za Serikali atoa msaada wa mil.2/- zahanati ya Muhepai

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea Mbunge wa viti Maalum Mkoa wa Ruvuma Mariam Madalu Nyoka,  ametoa kiasi cha sh.milioni 2 pamoja na mashuka ya wagonjwa 15 katika zahanati ya kijiji cha Muhepai ililiyopo kata ya kilagano halmashauri ya Songea  vijijini…

Mathias Canal achangia mil.5/- kupunguza changamoto zinazoikabili Shule ya Msingi Tutu Iramba

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Iramba Afisa Mtendaji Mkuu wa WazoHuru Media Ndg Mathias Canal amechangia jumla ya Shilingi Milioni 5 kwa ajili ya kutatua changamoto mbalimbali zinazoikabili shule ya Msingi Tutu iliyopo katika Kata ya New Kiomboi, Wilayani Iramba katika…

Dk Kisenge: Uvutaji wa sigara na unywaji wa pombe ni hatari kwa mjamzito

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Peter Kisenge akimpa zawadi mwananchi aliyefika katika Taasisi hiyo kwaajili ya kufanya uchunguzi wa magonjwa moyo ikiwa ni muendelezo wa kuadhimisha siku ya moyo duniani inayoadhimishwa kila ifikapo tarehe 29…

Serikali kujenga kongani ya viwanda vya kuchakata mazao mikoa ya kusini

Na Mwandishi Wetu SERIKALI imesema iwe jua ama mvua itajenga Kongani ya viwanda vya kuchakata mazao ya mikoa ya kusini kwa gharama ya zaidi ya sh. Bilioni 300. Akizungumza katika mwendelezo wa ziara yake mkoani Mtwara Waziri wa Kilimo Mhe….

Tamasha la mitindo nchini Labeba taswira mpya

Na Lookman Miraji Tamasha la mitindo la kitanzania lijulikanalo kama Tanzania Fashion Festivals (TAFF) limechukua taswira taswira mpya mara baada ya kufanyika kwake mwishoni mwa wiki iliyopita. Tamasha hilo lilifanyika jumamosi iliyopita ya septemba 28 mwaka huu katika ukumbi wa…