Author: Jamhuri
Mwenge wa uhuru wazindua miradi saba Temeke
Na Heri Shaaban, JamhuriMedia, Dar es Salaam MWENGE wa Uhuru umezindua miradi saba ya maendeleo Wilaya ya Temeke Mkoa wa Dar es salaam yenye thamani ya shilingi bilioni 17. Akizungumza mara baada kuzindua miradi hiyo ya maendeleo mkuu wa wilaya…
Serikali yakaribisha wawekezaji kwenye sekta ya tiba ya afya ya kinywa na meno
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Serikali imetoa wito kwa wawekezaji wa ndani na nje ya nchi kuwekeza kwenye ujenzi wa viwanda vya kutengeneza vifaa tiba na dawa kwa ajili ya matibabu ya maradhi ya afya ya kinywa na meno,…
Idadi ya waliokufa kwa mafuriko Nigeria yafikia 151
Zoezi kubwa la uokoaji linaendelea nchini Nigeria kuwatafuta watu kwenye maeneo yaliyokumbwa na mafuriko ya kutisha ambayo hadi sasa yamesababisha vifo vya watu 151. Hayo yameelezwa na Rais wa nchi hiyo Bola Tinubu ambaye pia ametahadharisha kuwa idadi ya vifo…





