Author: Jamhuri
Mtendaji wa Kijiji adaiwa kujiua kwa sumu ya panya
MTENDAJI wa Kijiji cha Ulowa Namba Moja, Kata ya Ulowa, Halmashauri ya Ushetu wilayani Kahama mkoani Shinyanga, Juliana Mkumbo (30) anadaiwa kujiua kwa kunywa sumu ya panya. Kamanda wa Jeshi la Polisi, Mkoa wa Shinyanga, Janeth Magomi alithibitisha kutokea kwa…
Wagombea ubunge, udiwani CCM sasa kujulikana Julai 28
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kuwa kikao cha mwisho cha uteuzi wa wagombea wake wa nafasi za Ubunge na Udiwani kimepangwa kufanyika tarehe 28 Julai, 2025, badala ya Julai 19 kama ilivyokuwa imepangwa awali. Akizungumza na waandishi wa habari leo…
Pochi ya Rais Samia yafunguka, bil. 98.893 kuimarisha elimu ya sekondari Mbeya na Mtwara
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan ametoa zaidi ya Shilingi Bilioni 98.893 kwa ajili ya kuimarisha sekta ya elimu katika mkoa wa Mbeya na Mtwara. Fedha hizo zimetolewa kupitia Mradi wa kuboresha Ubora wa…
Umoja wa mataifa wazidi kuliamini JWTZ
Lakabidhiwa mradi wa ujenzi wa madaraja kupitia MINUSCA Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limeendelea kuthibitisha umahiri na uaminifu wake katika operesheni za kimataifa baada ya Umoja wa Mataifa kupitia Ujumbe wa Kulinda Amani nchini Jamhuri ya Afrika…
Mwaka Mpya wa Kiislam Muharram kuja na maonyesho kuhudumia jamii
Na Magrethy Katengu -JamhuriMedia,Dar es Salaam Katika kuadhimisha Mwaka Mpya wa Kiislam 1447 Wananchi wameshauriwa kuhudhuria Viwanja vya Mnazi Mmoja kupata huduma katika Maonyesho Muharram Expo ikiwemo huduma za Afya bure,Elimu ya Kifedha,na kutoadamu. Akizungumza na waandishi wa habari ,Jijini…