JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Dk Biteko aongoza maelefu kumzika aliyekuwa Mkurugenzi TANESCO Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga

Na Mwandishi Wetu, Jamhuri mediaBunda, Mara 📌Amtaja kuwa ni hazina kubwa katika utekelezaji wa miradi ya umeme 📌Asema atakumbukwa kwa mchango wake wa kuwaunganisha wafanyakazi TANESCO. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe.Dokta.Doto Biteko leo Aprili 16,2025 ameongoza maelfu…

Nyongo: Sekta binafsi ina mchango mkubwa kwa taifa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mwanza NAIBU Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Mipango na Uwekezaji, Stanislaus Nyongo, ametoa wito kwa sekta binafsi kushiriki kikamilifu katika kupanga na kutekeleza mikakati mbalimbali ya nchi kwani zina mchango mkubwa kwa taifa. Ameyasema hayo leo…

Majaliwa aipa maagizo TANROAS ukarabati barabara, madaraja

*Asema Rais Dkt. Samia ametoa shilingi bilioni 130 kwa ajili ya ukarabati madaraja mkoa wa Lindi. *Awatoa hofu wakazi na watumiaji wa barabara ya Dar, Lindi. WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa maagizo kwa Mameneja wa Wakala ya Barabara nchini (TANROADS)…

Milioni 431.2 zawagusa wananchi waliokuwa taabani Chato

Na Daniel Limbe, JamhuriMedia, Chato ZAIDI ya shilingi milioni 431.2 zimetumika kwaajili ya kutekeleza mradi wa uchimbaji visima vitano kwenye vijiji vilivyokuwa na ukosefu mkubwa wa maji safi na salama kwenye Jimbo la Chato mkoani Geita. Huo ni mpango mkakati…

Serikali yasisitiza uanzishwaji vyama vya ushirika Lindi, Mtwara

Na Christopher Iilai, JamhuriMedia, Lindi Serikali imesitisha uazishaji wa vyama vya ushirika kwa mikoa ya Lindi na Mtwara na badala yake vyama vilivyopo vijikite katika kujihimarisha kiuchumi ile viweze kuiiendesha. Hayo yamesemwa na Mrajis wa vyama vya ushirika nchini,Dr Benson…

Obama : Trump kuzuia ufadhili wa Harvard si ‘halali’

Rais wa zamani Barack Obama anapongeza uamuzi wa Chuo Kikuu cha Harvard kukataa matakwa ya Ikulu ya White House ya kubadili sera zake au ikose ufadhili, katika ujumbe wake wa kwanza kwenye mtandao wa kijamii kukosoa utawala wa Trump tangu…