Author: Jamhuri
Mwakyembe, Chambo wasitishwe
BAADHI ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), wamemwandikia barua Katibu Mkuu Kiongozi, Ikulu, Balozi Ombeni Sefue wakidai kuwa Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe anafanya kazi kwa kutumia majungu anayopelekewa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Omar Chambo.
Yah: Nguvu ya maji yaja, mtaua wangapi?
Wanangu, ka-jua ka leo kananikumbusha mandhari ya miaka mingi kabla Tanganyika haijaanza kuwa jangwa la kutisha na kushindwa kuhimili hali ya ukame na wakati mwingine kukosa maji ambayo yanasababisha hadi tukose umeme na kusababisha kuyumba kwa uchumi wa mtu mmoja mmoja na nchi.
Kikwete polisi wanaanza kuyeyusha heshima uliyojijengea
Mwaka 2008 nilibahatika kuwa mmoja wa watu waliopata fursa ya kusafiri na Rais Jakaya Kikwete kwenda jijini Washington, Marekani. Safari hii ilikuwa ikihusiana na mambo mbalimbali lakini kubwa ni kushawishi Serikali ya Marekani kuridhia Mpango wa Millennia Challenge Cooperation (Account) – MCC.
Waziri Mgimwa ahimiza ufanisi PPF
Waziri wa Fedha, Dk. William Mgimwa, amehimiza utendani makini utakaongeza ufanisi katika Mfuko wa Pensheni za Mashirika ya Umma (PPF) nchini.
Elimu ya Tanzania vipi?
Baada ya matokeo ya mitihani ya darasa la VII ya mwaka 2011 kutangazwa, kumetokea tashtiti kubwa katika nchi hii. Kule kutangazwa kwamba wanafunzi 5,200 hawajui kusoma wala kuandika, lakini wamo miongoni mwa watoto 567,567 waliochaguliwa kuingia kidato cha kwanza mwaka huu, kumewashangaza wengi. Naona kama ni jambo fulani la kisanii!
Sumaye, Nagu katika vita kali
*Muhtasari wa kikao wachakachuliwa, jina la Dk. Nagu laingizwa
Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Wilaya ya Hanang’ mkoani Manyara, kinakabiliwa na mpasuko unaosababishwa na uhasama ulioibuka kati ya Waziri wa Uwekezaji na Uwezeshaji, Dk. Mary Nagu, na Waziri Mkuu mstaafu Frederick Sumaye.
- Kafulila: Elimu ijikite katika umahiri na uzalishaji
- Baja : Hospitali Benjamin Mkapa yashika nafasi ya kwanza kwa ubora wa utoaji huduma
- DC Temeke awataka wadau kushirikiana na FCC mapambano bidhaa bandia
- Waziri Sangu awataka waajiri Kutumia fursa ya msamaha wa tozo wa NSSF
- Kapinga atembelea kiwanda cha Mainland Group, apongeza juhudi za uongezaji thamani
Habari mpya
- Kafulila: Elimu ijikite katika umahiri na uzalishaji
- Baja : Hospitali Benjamin Mkapa yashika nafasi ya kwanza kwa ubora wa utoaji huduma
- DC Temeke awataka wadau kushirikiana na FCC mapambano bidhaa bandia
- Waziri Sangu awataka waajiri Kutumia fursa ya msamaha wa tozo wa NSSF
- Kapinga atembelea kiwanda cha Mainland Group, apongeza juhudi za uongezaji thamani
- Salome Makamba afunga maonyesho ya Nishati Expo 2026
- Wawili wakamatwa wakitorosha mifugo 254 kwenda nje ya nchi kwa njia ya magendo
- Tanzania yapongezwa kwa utekelezaji wa mkakati wa PEN-PLUS katika kukabiliana na magonjwa yasiyo ya kuambukiza
- Waziri Mkuu: Serikali itaendelea kupambana na biashara ya bidhaa bandia
- From representation to results: How President Samia is redefining women’s diplomacy in Africa
- Rais Samia azindua huduma ya saratani KCMC, aahidi ushirikiano
- Bangu: Mfumo wa stakabadhi za ghala ni imara
- Africa Agri Expo Marks 10th Anniversary, Expands Focus on Innovation in Agriculture, Food and Livestock
- REA Zambia yafurahishwa na ubora wa miradi ya umeme Vijijini Tanzania
- MD Twange atoa rai kwa mameneja TANESCO kuongeza kasi kupambana na wizi wa miundombinu ya umeme