Category: Burudani
Koffi Olomide ataja siri ya kufanya muziki muda mrefu
Mkali wa muziki wa rhumba kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Koffi Olomide Mopao Mokonzi, ametaja siri ya kuendelea kuwapo kwenye muziki kwa muda mrefu licha ya kuwa na umri mkubwa. Olomide amesema hayo alipokuwa akijibu swali la mwandishi…
Mzungu Kichaa aachia albamu nyingine
Mwanamuzi wa Bongo Fleva mwenye asili ya Ulaya, Mzungu Kichaa, ameachia albamu nyingine inayokwenda kwa jina la ‘Huyu Nani’ akiendeleza safari yake ya muziki ambayo inatimiza miaka kumi hivi sasa. Akizungumza na Club1Xtra ya jijini Nairobi hivi karibuni kuhusu albamu…
Banana kama baba yake (2)
Katika kuangalia safari ya kimuziki ya Banana Zorro, wiki iliyopita tuliona jinsi alivyoamua kuachana na bendi ya kwanza na kujiunga na Inafrica Band, na moja kwa moja kujikita katika kufanya kazi kama mwanamuziki anayejitegemea, yaani solo artist. Akiwa mwanamuziki anayejitegemea,…
Banana kama baba yake (1)
Wahenga wana misemo mingi na moja ya misemo hiyo ni: “Mtoto wa nyoka ni nyoka.” Usemi huu umejidhihirisha wazi kwa mwanamuziki wa kizazi kipya, Banana Zorro, anayefanya muziki kama alivyo baba yake mzazi, Zahir Alli Zorro. Zahir ni mmoja kati…
Mbwana Samatta ang’ara tena
Mshambuliaji mpya wa Aston Villa ya Uingereza na nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta, ameendelea kung’ara kwa kuchaguliwa kuwa Mtanzania kijana mwenye ushawishi mkubwa kwa mwaka 2019. Samatta ameibuka kidedea katika kura zilizoendeshwa na Kampuni ya Avance Media. Taarifa iliyotolewa…
Singeli kuifunika Bongo Fleva? (2)
Katika makala iliyopita tulianza kuangalia kwa ufupi historia ya mwanamuziki Man Fongo, ambaye ni mmoja wa watu ambao wameufanya muziki wa Singeli ukasisimua nchini. Ingawa Man Fongo na wenzake wamefanya kazi kubwa kuutambulisha muziki huo ambao sasa unashindana na Bongo…