Category: Sitanii
Karibu 2020, tumejiandaaje?
Toleo la leo ni la kwanza kwa mwaka 2020. Mwaka 2000 tukiwa Buruguni eneo la Sewa, nilikuwa na marafiki zangu kadhaa. Baadhi Mungu amewapenda zaidi, ila wengi bado tupo. Zilivuma taarifa kuwa mwaka 2000 ulikuwa mwisho wa dunia. Wakati huo…
Mkapa amekiri jinai, Katiba inamlinda (2)
Wiki mbili zilizopita niliandika juu ya Kitabu alichoandika Rais (mstaafu), Benjamin Mkapa kiitwacho “Maisha Yangu, Dhamira Yangu: Rais Mtanzania Akumbuka.” Nilijadili mada ya ununuzi wa nyumba/jengo la Ubalozi wa Tanzania nchini Italia. Niligusia maelezo ya Rais Mkapa aliyekwenda mahakamani kutoa…
Mkapa amekiri jinai, Katiba inamlinda
Na Deodatus Balile Nimesoma kitabu alichokiandika Rais (mstaafu), Benjamin Mkapa kiitwacho Maisha Yangu, Dhamira Yangu: Rais Mtanzania Akumbuka.” Kitabu hiki kimekuwa gumzo. Sitanii, nilisikia Rais John Magufuli akiagiza kitabu hiki kitafsiriwe katika Kiswahili. Kitabu hiki kimenikumbusha vitabu vinne vya kizalendo;…
Nyerere niruhusu nimpongeze Magufuli
Wiki hii Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ametimiza miaka 20 baada ya kifo chake. Hatunaye Mwalimu Nyerere kwa miaka 20 sasa. Na kwa kweli nikuombe radhi msomaji wangu kuwa leo kwa upekee na kwa hili tukio la miaka 20 ya kifo…
Jinsi ya kuanzisha biashara Tanzania (31)
Wiki iliyopita nilihitimisha makala hii katika sehemu ya 30, kwa kuhoji hivi: “Je, unafahamu kiwango cha ushuru wa forodha na taratibu za kulipa ushuru huo unaponunua gari kutoka nje ya nchi? Tafadhali usikose sehemu ya 31 ya makala hii inayolenga…
Jinsi ya kuanzisha biashara Tanzania (30)
Wiki mbili zilizopita nilihitimisha makala hii katika sehemu ya 29 kwa kuhoji hivi: “Kwa upande wa kodi za serikali kuu, makala hii inakomea hapa, isipokuwa nitagusia ushuru, stempu, kodi ya michezo ya kubahatisha na Ushuru wa Stempu ya Elektroniki. Hadi…