Category: Gazeti Letu
Oxfarm: Kilimo kitaondoa umaskini
DAR ES SALAAM Na Pawa Lufunga Shirika la Oxfarm Tanzania limewaasa wadau wa maendeleo nchini kuweka kipaumbele katika sekta ya kilimo ili kutokomeza umaskini. Akizungumza katika warsha ya wiki mbili iliyowakutanisha wadau wa kilimo nchini, Ofisa Ushawishi wa shirika hilo,…
Yah: Tusipozuia mapema itatugharimu siku zijazo
Nianze waraka wangu kwa kuwakumbusha kuwa sasa ni rasmi tunaelekea kuugawa mwaka, wenye malengo yao naamini wanafanya tathmini walipo na wale ambao walisherehekea mwaka kwa kuangalia tarehe, labda hawana chochote cha kufanyi tathmini zaidi ya kusubiri tarehe ya mwaka mpya….
Waziri Simbachawene awanyoosha NIDA
Siku chache baada ya Gazeti la JAMHURI kuchapisha habari za uchunguzi kuhusu ulegelege wa Mamlaka ya Vitambulisho Tanzania (NIDA) kushindwa kufanya kazi ya kutoa vitambulisho vya uraia inavyotakiwa kutokana na kuharibika kwa mitambo na hujuma za baadhi ya watumishi, Waziri…
BRELA yafumuliwa
Menejimenti ya Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) imefumuliwa. Katika mpango mahususi unaotajwa kuwa unalenga kupambana na rushwa, vishoka, utendaji wa mazoea, na kuifanya BRELA ishiriki vilivyo kwenye ujenzi wa uchumi wa taifa, vigogo watano tayari wameondolewa kwenye…
Utata balozi wa heshima
Utata umejitokeza kuhusu raia wa Tanzania anayejitambulisha kuwa na hadhi ya kibalozi, akiwa na hati mbili za kusafiria, ikiwamo ya nchi nyingine. Sambamba na hilo, pia ana majina yanayotofautiana katika hati zote mbili, lakini anasema hana kosa lolote. Hati…


