JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Gazeti Letu

Lissu njia panda

Ofisi ya Bunge inakusudia kutangaza hatima ya ubunge wa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (CHADEMA), baada ya kutokuwapo bungeni kwa miezi 16 sasa. Uamuzi huo ukisubiriwa kutoka kwa Spika Job Ndugai, mwanasiasa huyo amekataa kuzungumzia lolote kuhusu madai kwamba…

Spika, CAG ngoma nzito

Kama ungekuwa mchezo wa soka, basi ungesema zimechezwa dakika 90 zimekwisha, zikaongezwa dakika 30 zikaisha timu zikiwa sare, sasa wanaelekea kwenye kupiga penalti. Huo ndiyo mchuano uliopo kati ya Spika wa Bunge, Job Ndugai na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa…

Hujuma korosho

Juhudi za Rais John Magufuli kudhibiti magendo katika biashara ya korosho, maarufu kama ‘kangomba’ zinaelekea kuingia doa kutokana na watendaji aliowaamini katika ngazi ya wilaya kushiriki biashara hiyo, uchunguzi wa JAMHURI umebaini. Taarifa kutoka mikoa ya Ruvuma, Mtwara na Lindi…

Siri zavuja Jiji

Siri nzito za mradi wa ujenzi wa kituo kikubwa cha mabasi ya kwenda mikoani eneo la Mbezi Luis zimevuja, zikavuruga watendaji na Baraza la Madiwani wa Jiji la Dar es Salaam, JAMHURI linathibitisha. Baada ya wiki iliyopita gazeti hili kuandika…

Rushwa yavuruga Jiji

Rushwa imevuruga safu ya uongozi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam katika mradi wa ujenzi wa stendi ya mabasi Mbezi Luis, na sasa viongozi wote wanashikana uchawi, JAMHURI limebaini. Uchunguzi uliofanywa na JAMHURI umebaini kuwa kiwango cha kuaminiana…

Bomu la mafao

Kuna dalili za kukwama kwa kanuni mpya za ukokotoaji wa mafao ya wastaafu zilizotangazwa na serikali. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria Ndogo imewatoa hofu wananchi kuhusu kanuni hizo ikisema inazisubiri zipelekwe bungeni hata kama zimekwisha kuanza kutumika. Kanuni…