JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Gazeti Letu

Jela si mchezo

DAR ES SALAAM NA WAANDISHI WETU Kishindo kikubwa kinatarajiwa kuanza kusikika wiki hii baada ya mabadiliko ya uongozi katika Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU). Mtikisiko huo, pamoja na mambo mengine, utawahusisha baadhi ya vigogo wanaotuhumiwa kujihusisha na…

Bosi Takukuru du!

*Kesi ya Singa, Rugemalira, wabunge zamtia kitanzini *Mfumo mpya kupokea, kukalia taarifa wamponza *Rais Magufuli apasua jipu, yeye ajipiga ‘kufuli’ Na Waandishi Wetu, Dar es Salaam Kushindwa kupambana na rushwa kubwa, kutotengeneza mazingira rafiki kwa watoa taarifa za rushwa na…

Makonda maji shingoni

*Kauli ya Rais Magufuli yazima ‘kiburi’ chake nchini *Sh bilioni 1.2 makontena kaa la moto, akilipa linammaliza *Wasema sasa ni ‘zilipendwa’ , wakumbushia vituko vyake *Askofu Gwajima asisitiza alikwishamfuta katika uliwengu wa siasa Na Waandishi Wetu, Dar es Salaam Mkuu…

Fedha za Uchaguzi Mkuu zawaponza

MOSHI NA CHARLES NDAGULLA Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Kilimanjaro imewafikisha mahakamani mtumishi wa halmashauri na mfanyabiashara wakituhumiwa kufuja fedha za Uchaguzi Mkuu mwaka 2015. Safari hii waliofikishwa mahakamani ni Mkuu wa Kitengo cha Uchaguzi…

Kuelekea Uchaguzi 2020 Majimbo kufutwa

*Maandalizi ya mabadiliko makubwa yaanza *Mapendekezo ni halmashauri ziwe majimbo *Viti Maalumu navyo kupitiwa na marekebisho *Malengo ni kuleta tija na uwakilishi makini DAR ES SALAAM NA MWANDISHI WETU Mabadiliko makubwa ya sheria yanapendekezwa, yakilenga kupunguza idadi ya majimbo, wabunge…

Jabir Kigoda ahusishwa magari ya wizi

DAR ES SALAAM NA MWANDISHI WETU Mfanyabiashara, Jabir Kigoda, anakabiliwa na tuhuma za kukutwa na magari matatu yanayodaiwa kuwa ni ya wizi. Magari hayo ya kifahari yamo kwenye orodha ya magari yaliyoibwa nchini Afrika Kusini. JAMHURI limeambiwa kuwa Shirikisho la…