Category: Habari Mpya
Waziri Mkuu ashiriki sala la Eid Dodoma
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka waumini wa dini ya kiislam kuendelea kuyaishi yale waliyojifunza wakati Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Amesema kuwa lengo ni kuhakikisha jamii inaendelea kuwa bora na kulifanya Taifa kuwa lenye tulivu, amani na mshikamano “Popote Tanzania unapokwenda…
Waziri Mkuu mgeni rasmi ufunguzi wa MAKISATU Tanga
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma. Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof Adolf Mkenda amesema Wizara hiyo imefungua dirisha la usajili wa Mashindano ya Kitaifa ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu (MAKISATU) zitakazopelekwa kwenye Maadhimisho ya Wiki ya Kitaifa ya Elimu, Ujuzi na…
Shambulio la kombora DRC lawaua wanajeshi watatu wa Tanzania
Wanajeshi watatu wa Tanzania wameuawa kwenye shambulio la kombora mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Wanajeshi hao wanahudumu katika kikosi cha kutunza amani cha kijeshi cha Jumuiya ya maendeleo kusini mwa Afrika SADC. Wanajeshi wengine watatu wanasemekana kujeruhiwa. Taarifa…
WHO: Watu 3500 hufariki kwa homa ya ini kila siku
Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) limeonya kuwa zaidi ya watu 3,500 hufariki kutokana na virusi vya homa ya ini kila siku na kuongeza idadi ya wanaoathirika duniani. Shirika la afya duniani limesema zaidi ya watu 3000 hufariki kwa homa ya…
MSD yatoa msaada kwa waathirika wa mafuriko Rufiji
Bohari ya Dawa leo imekabidhi bidhaa za afya mbalimbali kwa waathrika wa mafuriko Wilayani Rufiji mkoani Pwani. Bidhaa hizo zimekabidhiwa kituo cha Afya Mohoro kilichopo Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji ambazo ni pamoja na Dawa, za kuzuia na kutibu malaria,…
DC Okash aibana TANESCO Bagamoyo, atoa maelekezo
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Bagamoyo KATIKA kukabiliana na changamoto ya kukatika umeme mara kwa mara, Serikali Wilayani Bagamoyo, imelielekeza uongozi wa shirika la umeme Tanesco Wilayani humo kuwa na siku moja ya kukata umeme kwa ajili ya matengenezo yasiyo ya…





