Category: Habari Mpya
TRCO yajitosa kumnusuru mnyama kakakuona
Na Zulfa Mfinanga, JamhuriMedia, Arusha Wadau wa uhifadhi nchini wametakiwa kuhakikisha kuwa mnyama Kakakuona analindwa na kutunzwa kwani yupo hatarini kutoweka. Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na shirika la Tanzania Research Conservation Organization (TRCO) kuanzia mwaka 2022 hadi 2024 umesema…
Wananchi wa Kipunguni kulipwa fidia
Na Josephine Majura WF, Dodoma Serikali imesema kuwa itaanza kufanya malipo ya fidia kwa wananchi wa Kipunguni waliopisha upanuzi wa Uwanja wa Ndege jijini Dar es Salaam ambao madai yao yamehakikiwa na hayana vikwazo vyovyote. Hayo yameelezwa bungeni, jijini Dodoma…
Dk Biteko ataka Watanzania kumuenzi Sokoine kwa kufanyakazi
📌Hayati Sokoine alikuwa mstari wa mbele kukemea rushwa na ufisadi 📌Anakumbukwa kama kiongozi aliyepigania maendeleo ya taifa. 📌Dkt. Biteko asisitiza Sekta ya Kilimo iwe kimbilio Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa, Watanzania wanapaswa…
Walipa kodi Tabora waunga mkono juhudi za Rais Samia
Na Allan Vicent, JamhuriMedia, Tabora MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) mkoani Tabora imeeleza kupata mafanikio makubwa katika kipindi cha miaka 3 ya utawala wa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kutokana na mwitikio mzuri wa wananchi kulipa kodi. Hayo yamebainishwa na…
Makonda: Arusha mmenipokea vizuri sana ila tutageukana muda si mrefu
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amewataka watumishi wa umma kutimiza wajibu wao na kusisitiza kuwa hatokuwa tayari kuvumilia uzembe kwa mtumishi yeyote bila kujali yeye ni nani. “Arusha mmenipokea vizuri sana ila tutageukana…





