Category: Habari Mpya
Majaiwa : Sh.Trilioni 10 zatrumika ujenzi wa SGR
Serikali imetumia kiasi cha shilingi trilioni 10.69 kwa ajili ya ujenzi wa reli ya kisasa kwa kiwango cha kimataifa yenye urefu wa kilometa 1,219 kuanzia Dar es Saalam hadi Mwanza. Hayo yamesemwa jana Bungeni na Waziri Mkuu Kassim Majalwa wakati akisoma…
Mbarawa apokea vichwa vitano vya treni ya umeme, TRC yajiweka sawa
Na Jumanne Magazi, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Uchukuzi Makame Mbarawa amepokea seti ya kwanza ya vichwa vitano vya treni ya umeme EMU,maarufu mchongoko na mabehewa matatu ya abiria vyenye thamani ya Dola za Marekani mil 190. Ameyasema hayo…
Bilionea Laizer anyan’ganywa njia ya mgodi Mererani, wachimbaji 580 wakosa ajira
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mererani Rais Samia Suluhu Hassan ameombwa kuingilia kati, mgogoro wa kufungwa njia ya mgodi wa bilionea Saniniu Laizer ambao mwaka 2020 ulivunja rekodi ya kutoa madini makubwa zaidi ya Tanzanite tangu kugunduliwa madini hayo miaka zaidi…
Wajumbe wawasili kwenye kikao maalumu cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa
Viongozi mbalimbali Wajumbe wakiwasili tayari kwa Kikao Maalum Cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kitakachoongozwa na Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 3 Aprili, 2024 Jijini Dar es salaam.
Mtoto wa siku moja afariki kwa kudaiwa kunyweshwa sumu na jirani
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tabora JESHI la Polisi Wilaya ya Igunga mkoani Tabora linamshikilia mwanamke mmoja aitwaye Wande Shija, mkazi wa Mtaa wa Mbagala B Kitongoji cha Magharibi kwa tuhuma za kumnywesha sumu mtoto mchanga wa siku moja wa jirani…





