JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Tanzania, Burundi zasaini hati za makubaliano ya ushirikiano sekta ya madini

Bujumbura, Burundi Mawaziri wa Sekta ya Madini wa Burundi Mh. Eng. Ibrahim Uwizeye na Tanzania Mh. Anthony Mavunde leo wamesaini hati ya makubaliano ya kushirikiana kwenye sekta ya madini ili kukuza mchango wa sekta hii katika uchumi wa nchi mbili…

Taifa Gas yajidhatiti kufikisha huduma ya gesi kwa gharama nafuu

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wakati serikali ikiendelea kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia, Kampuni ya Taifa Gas Tanzania Limited imesema imejidhatiti kuweza kufikisha huduma ya gesi nchi nzima kwa gharama nafuu. Hayo yamebainishwa jijini Dar es…

11 wahukumiwa kwa kujipatia fedha mtandaoni kwa njia ya udanganyifu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu watu 11 ambao ni wakazi wa Ifakara, mkoani Morogoro kifungo cha miaka mitatu jela au kulipa faini ya Sh. Milioni 6 kwa kila mmoja baada ya kupatikana…

Watendaji kata, mitaa, maendeleo ya jamii wanolewa Kibaha

Na Byarugaba Innocent, JamhuriMedia, Kibaha Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Kibaha Mheshiniwa Mussa Ndomba amefungua Kikaokazi cha siku moja kilichowakutanisha Watendaji Kata,Mitaa,Wataalam wa Kilimo,Mifugo na Maafisa Maendeleo ya Jamii kilichofanyika jana Machi 28,2024 kwenye ukumbi wa Halmashauri kikiangazia utoaji wa…