Category: Habari Mpya
Ujerumani yatoa euro milion 70 kusaidia miradi ya maendeleo Tanzania
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Dar ea Salaam Tanzania na Ujerumani zimesaini makubaliano ya ahadi (commitment) ya msaada wa kiasi cha euro milioni 70 (sawa na shilingi bilioni 193.71) kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo nchini Tanzania, ikiwemo Sekta…
Kampuni 180 za Tanzania, China kushiriki kongamano la uwekezaji Machi 27
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Katika kile kinachothibitisha kuwa uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan umefungua fursa za kiuchumi Machi 27, 2024 kampuni 180 za China na Tanzania zinatarajiwa kufanya kongamano la uwekezaji na biashara hapa nchini. Kongamano…
Kamati yapitisha makadirio ya Bajeti kwa DCEA , Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria imepitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka wa fedha 2024/25 ya Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya na Ofisi ya Msajili…
TMX yapaisha mapato Kagera
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kagera Mfumo wa Unununuzi wa Mazao kwa njia ya Mtandao unaoedeshwa na Soko la Bidhaa Tanzania (TMX), umeongeza ushuru wa mapato mkoani Kagera kwa zaidi ya asilimia 200. Kwa misimu miwili Serikali kupitia Soko la Bidhaa…
Bil. 431 kutekeleza miradi ya barabara za kimkakati Kagera
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kagera Serikali ya Awamu ya Sita imetoa kiasi cha Sh bilioni 431 kwa kipindi cha miaka mitatu kwa ajili ya kutekeleza miradi ya barabara za kimkakati, ili kuhakikisha Mkoa wa Kagera unaunganisha barabara zake na mikoa…
Diamond ampa pole Rais Dk Mwinyi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi amepokea salamu za pole kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Wasafi, Nasibu Abdul Juma ‘Diamond Platinumz’ kufuatia kifo cha baba yake…





