JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Serikali yaahidi kurejesha hali ya miundombinu ya barabara iliyoathirika na mvua

N Mwandishi Wetu, Jamhuriamedia, Dar ea Salaam Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, anayeshughulika na Sera, Bunge na Uratibu Ummy Nderiananga amepongeza Kamati ya Maafa ya Mkoa wa Dar es Salaam kwa jitihada mbalimbali za kurejesha hali katika maeneo ambayo…

Baada ya kuwekewa puto Mloganzila nimepungua kutoka kilo 150 hadi 99

Vicent Fortunatus amesema huduma aliyowekewa ya puto maalumu (intragastric balloon) pamoja na kupunguza zaidi ya kilo 50 imekuwa na mafanikio makubwa ikiwemo kuondokana na changamoto ya maumivu ya mgongo, mwili kuwa mwepesi na kuwa rahisi kwake kutekeleza majukumu ambayo awali…

Bashe ataja sababu ya upungufu wa sukari

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema hali uzalishaji wa sukari katika viwanda saba nchini imeshuka hadi kufikia tani 1,000 kwa siku kutokana na mvua za El-nino zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini. Amesema mvua hizo zimeathiri hali…

Mvua ya upepo yaezua nyumba 20, makanisa Njombe

NJOMBE, Mvua iliyoambatana na upepo mkali jioni ya tarehe 19/1/2024 imesababisha kaya zaidi ya 20 kukosa makazi kwa kuezua bati la nyumba  na zingine kubomoka katika kata ya Luwumbu, Lupalilo na Mang’oto  Taasisi kadhaa pia zimekumbwa na maafa hayo ikiwemo…