Category: Habari Mpya
Serikali yakutana na taasisi za kifedha kwa nia ya kuwasaidia wafanyabiashara walioathirika na mafuriko Hanang’
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Hanang Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC), kupitia Ofisi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu pamoja na Uongozi wa Mkoa wa Manyara kwa kushirikiana na Halmashauri ya Wilaya ya Hanang’ imekutana wa…
Kipindupindu chaingia Chato, mmoja abainika, Serikali yatoa elimu
Na Daniel Limbe, JamhuriMedia, Chato WAKATI Serikali ikiendelea kutoa tahadhali ya mvua kubwa zinazoendelea kunyesha pamoja na kuimalisha usafi wa mazingira nchini, mwanamke mmoja wilayani Chato mkoani Geita ameripotiwa kupatikana na ugonjwa wa kipindupindu. Mgonjwa huyo (jina limehifadhiwa) ni wa…
Watu 38 wamekufa kwa ajali za moto 2,076 katika kipindi cha mwaka jana nchini
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Jeshi la Zimamoto na Uokoaji linatoa pongezi na shukurani kwa vyombo vyote vya habari na wanahabari kwa kazi kubwa wanayoifanya ya kuhabarisha umma juu ya huduma zinazotolewa na jeshi hilo hapa nchini kwa kipindo cha…
Dk Biteko ashuhudia utiaji saini mikataba miwili ya kihistoria ya gesi asilia
📌 Ni wa mauziano ya Gesi Asilia na ujenzi wa miundombinu midogo ya LNG 📌 Kuwezesha upatikanaji wa Gesi Asilia katika maeneo yote nchini 📌 Asema Rais, Dkt. Samia anafuatilia kwa karibu miradi ya Nishati 📌 Nchi kuwa na nishati…
Mbunge Msalala ajigama ‘Rais Samia anatubeba’
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Msalala MBUNGE wa Jimbo la Msalala, Kahama mkoani Shinyanga, Alhaj Idd Kassimu Idd (CCM) ametamba kwamba, fedha za miradi ya maendeleo zilizotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan, zimeibeba halmashauri hiyo. Akizungumza katika kikao cha wadau wa…
Msajili Hazina aanza kuita waombaji bodi za mashirika
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Ofisi ya Msajili wa Hazina imeanza kutekeleza mageuzi katika muundo na utaratibu wa kusimamia mashirika na taasisi za umma hususani katika kuajiri na kufukuza watendaji wakuu wa mashirika hayo. Pia, serikali imetekeleza utaratibu…





