Category: Habari Mpya
Serikali kuwaondole vikwazo wafanyakazi TANESCO
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma SERIKALI kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana na Ajira imesema itashirikiana na Shirika la Umeme nchini (TANESCO) kuhakikisha inawajengea mazingira wezeshi wafanyakazi wa Shirika hilo kwa kuwaondolea vikwazo vinavyoweza kuwasababishia matatizo ya Afya ya akili hali…
Endelezeni mila zinazotuunganisha kusaidia kusukuma maendeleo- Sendeka
Na Mary Margwe, JamhuriMedia,Simanjiro Wananchi wa jamii ya Kimasai wametakiwa kuendeleza mila zinazowaunganisha kuwa wamoja na zile ambazo zinasaidia kusukuma Maendeleo chanya na kuwaletea Uchumi imara kwa Taifa. Hayo yamebainishwa Jana na Mbunge wa Jimbo la Simanjiro Christopher Ole Sendeka…
Urejeshaji hali Hanang waendelea
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Jenista Mhagama akiongoza zoezi ufunguaji wa barabara na uondoaji wa tope katika Mji wa katesh Halmashauri ya Hanang’ Wananchi wamepokea kwa muitikio chanya zoezi la kuhifadhi waathirika wa maporomoko…
Waziri Mbarawa aridhishwa na majaribio ya kichwa cha treni ya umeme
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar Waziri wa Uchukuzi Professor Makame Mbarawa afanya ziara fupi ya kuona majaribio ya kichwa cha treni ya umeme cha reli ya kiwango cha kimataifa – SGR kilichopo kwenye stesheni ya Pugu jijini Dar es Salaam…





