Category: Habari Mpya
Jafo: Wananchi waache kununua majokofu, viyoyozi mtumba
Serikali imewataka wananchi kuepuka kuingiza nchini na kutumia majokofu au viyoyozi vilivyokiwshatumika (mtumba) ambavyo vinatumia gesi haribifu kwa tabaka la ozoni na badala yake watumie bidhaa zenye uwezo mdogo wa kuchangia ongezeko la joto duniani. Waziri wa Nchi Ofisi Ya…
Naibu Waziri Mkuu asisitiza umuhimu wa ufuatiliaji na tathmini Serikalini
Na Mwandishi Wetu , JamhuriMedia, Arusha Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Dotto Biteko amesema kama Serikali haitafanya Tathmini ya Shughuli zake haitakuwa na uwezo wa kujipima na vihatarishi vya utekelezaji wa mipango yake. Naibu Waziri Mkuu Dkt….
Uchunguzi na tiba mishipa ya damu vyaimarishwa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Katika kuboresha huduma za kibingwa nchini Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imepokea msaada wa kifaa maalum chenye mfumo halisi wa mwili wa binadamu “Simulator” ambacho kitatumika kuendelea kuwajengea uwezo wataalamu wa Tiba Radiolojia (Interventional Radiology) kufanya…
RC Chalamila ashuhudia utiaji saini mikataba ya ujenzi ya barabara TARURA Dar
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila leo Agosti 12, 2023 ameshuhudia utiaji Saini wa mikataba ya kazi za ujenzi na matengenezo ya Barabara TARURA Mkoa wa Dar es Salaam yenye thamani ya Tshs….
Mkutano wa APIMONDIA kuipaisha Tanzania sekta ya ufugaji nyuki, utalii
Mkutano wa APIMONDIA kuipaisha Tanzania sekta ya ufugaji nyuki, utalii Na Wilson Malima JAMHURI MEDIA Dar es Salaam.Mkutano mkuu wa 48 wa Shirikisho la wafuga nyuki duniani (APIMONDIA) umeipa nafasi Tanzania kuwa mwenyeji wa kongamano la Kongresi ya 50 ya…
Tanzania yakanusha madai ya kutoroshwa kwa wanyamapori kwenda UAE
Mdhibiti wa viwanja vya ndege nchini Tanzania amekanusha kuruhusu utoroshwaji wa wanyamapori kutoka mbuga ya kaskazini hadi nchi za Mashariki ya Kati. Inafuatia madai kwenye mitandao ya kijamii kuwa wanyama pori hao walikuwa wakisafirishwa kwa ndege za mizigo kutoka Loliondo,…





