JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Balozi wa Tanzania katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) awasilisha hati za utambulisho

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Mhe. Lt. Jen. (Mst) Yacoub Hassan Mohamed amewasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu, Mhe. Sheikh Mohammed Bin Zayed Al Nahyan…

Wakulima wa mahindi Ruvuma waiomba Serikali kupanga bei maalumu ya zao hilo

Na Cresensia Kapinga,Namtumbo. Wakulima wa zao la mahindi mkoani Ruvuma wameiomba Serikali ione umuhimu wa kuweka bei ya zao hilo ambayo inafafana na gharama ya uzalishaji tofauti na hivi sasa kilo moja ya mahindi wakala wa hifadhi ya chakula kanda…

DC Mbinga atoa siku saba wanaoishi Hifadhi ya mlima Amani Makolo kuondoka

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mbinga Mkuu wa Wilaya Mbinga Aziza Mangosongo alitoa agizo hilo wakati wa mkutano wa hadhara na wananchi wa kijiji cha Mkeke, kata ya Amani Makolo, Akiwataka wananchi wote wanaoishi kwenye eneo la hifadhi ya mlima amani…

Mama wa kambo awaua watoto wawili kwa kuwanywesha sumu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Tabora Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora linamshikilia mwanamke mmoja kwa tuhuma za kuwaua watoto wawili wa familia moja kwa kuwanywesha sumu. Kamanda wa Polisi mkoani humo Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Richard Abwao, amethibitisha kutokea tukio…

Askari waliotimiza miaka 18 kazini watoa vifaa tiba zahanati ya DPA

Na. Mwandishi wetu Jeshi la Polisi,Dar es Salaam Askari wa Jeshi la Polisi kutoka chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es salaam wametoa msaada wa vifaa Tiba katika Zahanati ya Jeshi la Polisi iliyopo chuo cha Taaluma ya Polisi Dar…