Category: Habari Mpya
Dkt. Shelukindo akutana kwa mazungumzo na balozi wa Vietnam
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Samwel Shelukindo amekutana kwa mazungumzo na Balozi wa Vietnam, nchini Nguyen Nam Tien katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam, tarehe 9 Agosti 2023….
Majaliwa:Wekeni kipaumbele kuendeleza vijana
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka viongozi na wataalamu katika Mamlaka za Serikali za Mitaa waweke kipaumbele katika kuendeleza vijana ili washiriki kikamilifu kwenye shughuli za kuinua uchumi na kuwapatia ujuzi na mbinu za ujasiriamali. Pia, Mheshimiwa Majaliwa amesisitiza kila mkoa…
RC Chalamila aongoza mamia ya wakazi Dar kuaga miili ya Sia, Diana na Norah
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila leo Agosti 8, 2023 ameongoza mamia ya waombolezaji katika viwanja vya Golf Lugalo kuaga miili ya watu watatu (3) waliofariki kufuatia ajali ya gari iliyotokea Agosti 3, 2023 eneo la Mbwewe…
Mpango mpya NSSF kivutio Nanenane Arusha
Mpango mpya ulianzishwa na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) maalum kwa ajili ya watu kujiunga kutoka sekta binafsi umevutia wananchi wengi kwenye maonesho ya Nanenane yanayoendelea kwenye viwanja vya Themi Njiro Arusha Mpango mpya huo ambao unatarajiwa…





