Category: Habari Mpya
Serikali yamwaga mabilioni kujenga shule mpya Ruvuma
Na Albano Midelo, JamhuriMedia, Songea Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Deogratias Ndejembi amesema serikali ya Awamu ya sita mwaka huu imetoa zaidi ya shilingi bilioni 230 kwa ajili ya ukarabati na ujenzi wa miundombinu ya shule za…
Wagonjwa 70 kuzibuliwa mishipa ya damu miguu iliyoziba
Wataalamu wa magonjwa ya moyo na mishipa ya damu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na mwenzao Suhail Bukhari kutoka Hospitali ya BLK iliyopo nchini India wakimfanyia mgonjwa upasuaji wa kuzibua mishipa ya damu ya miguu (Peripheral Interventions) ambayo…
Waziri Mabula ataka wamiliki wa ardhi kulipa kodi kwa wakati
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amewataka wamiliki wa ardhi nchini kuhakikisha wanalipa kodi ya pango la ardhi kwa wakati ili kuepuka kutozwa riba ya malimbikizo ya kodi hiyo. Dkt Mabula alisema hayo wilayani Ngara…
Gobore 150 zakamatwa Msomera
Za8di ya silaha za kijadi aina ya gobore 150 zinazomilikiwa kinyume na sheria zimekamatwa katika ijiji cha Msomera wilayani Handeni mkoani Tanga . Hayo yamesemwa na MKuu wa Wilaya ya Handeni, Albert Msando wakati akisoma taarifa ya maendeleo ya kijiji…
Balozi awatoa hofu Watanzania treni SGR
Balozi wa Tanzania nchini Korea Kusini Togolani Mavura amewatoa hofu wananchi juu ya maendeleo ya utengenezaji seti 10 za treni za kisasa na vichwa 17 vya treni vya umeme vitakavyotumika katika reli ya kisasa SGR nchini. Balozi Mavura ameyasema hayo…





