Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
July 27, 2023
Habari Mpya
Samia azungumza na Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu
Jamhuri
Comments Off
on Samia azungumza na Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mama Graca Machel, mke wa zamani wa aliyekuwa Rais wa Msumbiji, Samora Machel ambaye pia ni Mwanasiasa na Mtetetzi wa Haki za Binadamu kando ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu
(Africa Heads of State Human Capital Summit)
uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JINCC) Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Julai, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa São Tomé na Principe Mhe. Carlos Vila Nova kando ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu
(Africa Heads of State Human Capital Summit)
uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JINCC) Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Julai, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa São Tomé na Principe Mhe. Carlos Vila Nova mara baada ya mazungumzo Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Julai, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri Mkuu wa Somalia Mhe. Hamza Abdi Barre kando ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu
(Africa Heads of State Human Capital Summit)
uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JINCC) Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Julai, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Makamu wa Rais wa Sudan Kusini Mhe. Hussein Abdelbagi Akol Agany kando ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu
(Africa Heads of State Human Capital Summit)
uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JINCC) Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Julai, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri kutoka Ofisi ya Rais ya Namibia Mhe. Christine Hoebes mara baada ya mazungumzo yao Jijini Dar es Salaam tarehe 26 Julai, 2023.
Post Views:
275
Previous Post
Moto wa Mediterania waua zaidi ya watu 40
Next Post
Waziri Jafo aridhishwa uzingatiaji sheria ya mazingira bandari Mtwara
Rais wa Benki ya AfDB awasili nchini
Ujio wa marais 25, barabara hizi kufungwa kwa muda, bodaboda marufuku mjini
Rais wa Sierra Leone atua Dar
Rais wa Sierra Leone kutua Dar leo
Wakuu wa nchi 25 kushiriki mkutano wa nishati Afrika
Habari mpya

JK aipa PPAA changamoto kuokoa fedha za Serikaki katika miradi
Baraza la wafanyakazi Ofisi ya Mwanasheria Mkuu lakutana
Kampeni ya ‘Ubungo usiku kama mchana’ yazinduliwa
JKCI yazidi kutanua wigo wa huduma za matibabu nchini
Watatu mbaroni kwa wizi mtoto wa miezi saba, wakutwa msituni
Bashe ahimiza ushirikiano kati ya Tume ya Umwagiliaji na Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri
Waziri Kombo akutana na Waziri wa Uchukuzi wa Czech
Polisi Arusha wapewa pikipiki 20 kuimarisha usalama
Tanzania, UN tourism zasaini makubaliano ya kongamano la kimataifa la utalii wa vyakula barani Afrika
Maelfu watakiwa kuhama baada ya moto mpya kuzuka Marekani