Category: Habari Mpya
Rais Samia kuweka jiwe la msingi viwanja vya Mashujaa Mtumba jijini Dodoma
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Maandalizi ya maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa yamekamilika katika eneo la Mtumba jijini Dodoma huku Serikali ikitoa maelekezo kwa mikoa yote nchini kufanya maadhimisho hayo kwa kufanya usafi, upandaji miti na shughuli nyingine…
Majaliwa atoa siku saba kwa TARURA, DAWASA kukamilisha barabara Muhimbili
………………………………………………………….. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewapa siku saba Meneja wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mkoa wa Dar es Salaam Godfrey Mikinga na Mkurugenzi wa Usafi wa Usimamizi wa Usafi wa Mazingira wa Mamlaka ya Maji Safi…
Upasuaji rekebishi kuimarishwa Muhimbili
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMediaHospitali ya Taifa Muhimbili itashirikiana na Chuo Kikuu cha Tiba kilichopo Bayreuth nchini Ujerumani katika kuwajengea uwezo wataalamu wa Kitengo cha Upasuaji Rekebishi wa MNH(reconstructive surgery). Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa MNH Prof. Mohamed Janabi alipokutana…
Simba yamtakia kila kheri Sakho
Klabu ya Simba imefikia makubaliano ya kumuuza kiungo mshambuliaji Pape Sakho kwenda klabu ya Quevilly Rouen Metropole. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na klabu hiyo leo Julai 24, 2023 kupitia kurasa zao za mitandao ya kijamii na imemtakia kila kheri….
Kinana: Rais Samia ni msikivu na mwenye kutoa maamuzi kwa maslahi ya Taifa
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Abdulrahaman Kinana, ameeleza kuwa Mwenyekiti wa Chama hicho na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan ni msikivu,mtulivu na mwenye kupokea ushauri na kutoa uamuzi kwa kutanguliza…
Watu 15 wafa maji Indonesia
TAKRIBANI watu 15 wamekufa baada ya kivuko kuzama kwenye kisiwa cha Sulawesi nchini Indonesia. Kivuko hicho kilikuwa na abiria 40 hata hivyo mamlaka inawatafuta watu 19 ambao hawajapatikana, shirika la kitaifa la utafutaji na uokoaji la Indonesia limesema leo. Abiria…




