Category: Habari Mpya
‘Wanaume watano, mmoja anashinikizo la juu la damu’
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amewataka wananchi kuzingatia ushauri wa afya unaotolewa na wataalamu ikiwemo kula kadri inavyoshauriwa na wataalamu ili kujiepusha na magonjwa yasiyoambukiza ikiwemo magonjwa ya figo. Chalamila ameyasema hayo…
NEC yajadili mkataba wa DPW, yaelekeza Serikali kutoa elimu kwa umma
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM )ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, ameongoza Kikao Cha Halmashauri kuu ya CCM Taifa kilichotanguliwa na Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu…
Jukwaa la Kimataifa la Sekta ya Madini kuwakutanisha wadau wa ndani na nje Oktoba 25
Wananchi na wadau wanaotembelea maonesho ya Sabasaba wamekaribishwa kupata taarifa kuhusu namna ya kushiriki katika Jukwaa la Kimataifa la Sekta ya Madini kwa kujisajili katika tovuti maalum ya mkutano. Mratibu wa Jukwaa la Mkutano wa Kimataifa kutoka Wizara ya Madini…
Mwekezaji mzawa wa madini ya Tanzanite avunja rekodi Simanjiro
Franone Mining yavunja rekodi na kuishangaza Serikali Waziri wa Madini Dkt.Dotto Biteko amemshuruku Rais Samia Suluhu Hassan juu ya uamuzi wake wa Mgodi wa Madini ya Tanzanite ‘ Kitalu C ‘ cha kumpata Mwekezaji mzawa na Mtanzania wa Kampuni ya…
‘Balozi Karume hakubadilisha tabia licha ya kuonywa’
Na Is-Haka Omar, Zanzibar Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) Mkoa wa Kusini Unguja kwa kauli moja imemfukuza uanachama kada na mwanachama mkongwe wa chama hicho Ali Abeid Karume kutokana na mwenendo wake wa kukiuka maelekezo ya maadili, miongozo na…