JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

DC Kaliua awasimamisha kazi wauguzi wanaotuhumiwa kusababisha kifo cha mapacha

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tabora Mkuu wa Wilaya ya Kaliua Mkoani Tabora Dkt Rashid Chuachua ameagiza kusimamishwa kazi Watumishi 2 wa Kituo cha Afya Kaliua wanaotuhumiwa kuzembea kumhudumia mama aliyejifungua mapacha 2 lakini wakapoteza maisha kwa kukosa huduma. DC Chuachua…

Serikali kujenga kituo maalum cha matibabu ya magonjwa ya mlipuko

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Afya imetenga hekali 90 kwa ajili ya ujenzi wa kituo maalumu cha magonjwa ya mlipuko (isolation center) ikiwemo ugonjwa wa Marburg katika Mkoa wa Kagera kutokana na mwingiliano na wananchi kutoka…

Shaib: Rushwa inazorotesha maendeleo, Tuwafichue wanaojihusisha

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibiti Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa mwaka huu Abdallah Shaib Kaim, ameeleza licha ya juhudi za Serikali kuboresha huduma na miradi mbalimbali ,wapo baadhi ya wala rushwa wanaokwamisha na kuzorotesha juhudi hizo. Kutokana…

TAWA yabainisha jitiada za Serikali kupunguza changamoto ya wanyamapori wakali

Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imesema kufuatia changamoto ya Wanyamapori Wakali na Waharibifu inayokabili Wilaya ya Mvomero, Serikali imechukua hatua mbalimbali mahsusi katika kuhakikisha inapunguza changamoto hiyo kwa wananchi. Hayo yamesemwa Mei 19, 2023 Wilayani Mvomero na Mhifadhi…