Category: Habari Mpya
Mikoa 13 kupatiwa mashine tiba za saratani ya milango wa kizazi
Na Catherine Sungura-Dodoma Serikali kwa kushirikiana na wadau wa afya imeagiza mashine Tiba (thermocoagulators) 100 zaidi ambazo zinatarajiwa kusambazwa kwenye vituo vya kabla ya mwezi Disemba 2023. Upatikanaji wa vifaa tiba hivyo utaenda kuongeza wigo wa upatikanaji wa huduma ya…
Waziri Mkuu kukutana na Kamati ya Wafanyabiashara Kariakoo Jumatano
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatarajia kukutana na kamati ya wafanyabiashara wa Soko la Kariakoo, Mawaziri wa sekta husika na Mamlaka ya Mapato Tanzania ( TRA). Mkutano huo unaotarajiwa kufanyika Saa 8 Mchana kwenye Ofisi ya Waziri Mkuu MAGOGONI- ikuluJumatano tarehe…
Serikali yafanya mapinduzi makubwa sekta ya afya
Na Catherine Sungura,WAF- Dodoma Serikali imefanya mapinduzi makubwa katika sekta ya afya kwa kuweka mfumo madhubuti wa huduma za dharura na ajali kuanzia ngazi ya Taifa hadi wilaya ambapo matokeo ya uwekezaji huo ni kupunguza vifo kwa 40% ndani ya…
Le Mutuz’ afariki
Mmiliki wa ‘Le Mutuz’ Blog, William Malecela, maarufu kama Mr. Super Brands amefariki dunia leo Mei 14, 2023 jijini Dar es Salaam Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Msanii Steve Nyerere Taarifa zaidi zitakujia hivi punde





