JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

DAWASA yakamilisha mradi wa Nyakahamba – Kerege Bagamoyo

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Pwani Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imekamilisha utekelezaji wa mradi wa kuongeza msukumo wa maji kwenye kitongoji cha Nyakahamba Kata ya Kerege Wilaya ya Bagamoyo, mkoani Pwani na kuwezesha…

Wananchi ‘wafunguka’ barabara za TARURA zinavyowaongezea kipato na kukuza uchumi wao – Kilolo

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Iringa Wananchi wa wilaya ya Kilolo mkoani Iringa wameishukuru serikali chini ya uongozi wa Rais wa awamu ya sita Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ujenzi wa Barabara ya Kidabaga-Bomalang’ombe ambao umeweza kuwaongezea kipato na kuwainua…

Wadau wa madini kukutana Arusha

Na Vicky Kimaro, Tume ya Madini JUKWAA la Tatu la Utekelezaji wa Ushirikishwaji wa Watanzania katika Sekta ya Madini litafanyika Mei 22 hadi 24, 2024 katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Arusha International Conference Centre (AICC). Jukwaa hilo linafanyika…

TMA yatoa taarifa ya uwepo wa kimbunga Ialy Bahari ya Hindi

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inatoa taarifa ya uwepo wa kimbunga “IALY” katika Bahari ya Hindi kaskazini mwa kisiwa cha Madagascar. Mifumo ya hali ya hewa inaonesha kuwa kimbunga hicho kitaendelea kusalia katika Bahari ya Hindi katika eneo…

Polisi Arusha wapewa pikipiki 20 kuimarisha usalama

Na. Mwandishi wetu Jeshi la Polisi Arusha. Jeshi la Polisi mkoa wa Arusha leo Mei 16, 2024 limepokea msaada wa pikipiki 20 toka benki ya CRDB kwa ajili ya kuimarisha usalama wa raia na mali zao katika Mkoa huo. Akikabidhi…