JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Kibaha walalamikia huduma ya mabasi ya mwendokasi, Kunenge afanya ziara

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Mkuu wa mkoa wa Pwani alhaj, Abubakar Kunenge amefanya ziara ya kutembelea na kukagua Mazingira ya Kituo cha Mabasi kibaha (Kibaha Bus Terminal), ambapo amepokea kero ya kuchelewa kufika kwa  Mabasi ya Mwendekas  kituoni hapo…

Waziri Jafo azindua miradi Mvomero

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amewataka wananchi kulinda miradi ya maendeleo, hifadhi ya mazingira kwa kupanda miti pamoja na kulinda uoto wa asili ili iendelee kudumu. Ametoa rai hiyo leo…

Othaman:Utawala wa haki suluhisho la mitafaruku ya kisiasa

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Othman Masoud Othman, ametaja Utawala wa Haki unaokidhi Misingi ya Sheria, Uadilifu na Uwajibikaji, kuwa ni suluhisho kubwa la Mitafaruku ya Kisiasa hapa Nchini. Mheshimiwa Othman ameyasema hayo leo, huko Ofisini kwake…

BRELA yawashauri wanawake wajasiriamali Masasi kusajili majina ya biashara zao

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Masasi Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), imewataka wanawake wajasiriamali wa Halmashauri ya wilaya ya Masasi kusajili kampuni na majina ya biashara ili biashara zao zitambulike kisheria. Rai hiyo imetolewa na Msaidizi wa Usaijili…

Majaliwa atembelea maonyesho viwanja vya Bunge Dodoma

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kuhusu tiba lishe, mafuta na sabuni zinazotokana na mwani  kutoka Happy Kapinga (kushoto) katika maonyesho yaliyoandaliwa na Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwenye viwanja vya bunge jijini Dodoma, Mei 2, 2023. Kulia kwake ni Waziri…

NGOs: Rais Samia amerejesha matumaini ya Watanzania

Mashirika yasiyo ya kiserikali nchini (NGOs) yamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa uongozi wa kimageuzi tangu aliposhika madaraka miaka miwili iliyopita, yakisema kuwa Rais Samia amerejesha matumaini ya Watanzania kwenye uchumi, demokrasia na maendeleo ya jamii. Umoja wa Mashirika Yasiyo…