Category: Habari Mpya
Wajawazito kupimwa vipimo vya awali bila malipo
Na Catherine Sungura, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amewataka akina mama wajawazito wanaofika kwenye Kliniki za Uzazi, Mama na Mto kupimwa wingi wa damu, mkojo kuangalia wingi wa protini, shinikizo la damu pamoja na kusikiliza mapigo ya moyo…
TRA yazindua kampeni ya’Tuwajibike’ yakumbusha kudai na kutoa risiti
Na Mussa Augustine, JamhuriMedia Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imezindua rasmi kampeni inayojulikana kwa jina la ‘Tuwajibike’ yenye lengo la kuwakumbusha na kuwahamasisha wauzaji bidhaa na wanunuzi kutoa na kudai risiti halali za EFD. Akizungumza jijini Dar es Salaam wakati…
Wanawake TUICO wapigwa msasa na NMB Mkononi Morogoro
Mkuu wa Idara ya Rasilimali Watu wa benki ya NMB, Joanitha Mrengo(Kulia) akizungumza na Naibu Katibu Mkuu TUICO, Takim Salehe(Kushoto) pamoja na Mkurugenzi wa Mashirika ya Fedha TUICO, Peles Jonathan Hageze(Katikati) baada ya kufungua semina ya kuwajengea uwezo wafanyakazi wanawake…
Aliyemtukana Rais Samia atupwa jela miaka sita Chato
Na Daniel Limbe, JamhuriMedia, Chato Msanii wa nyimbo za asili ya Kisukuma,Dawa Juma,mkazi wa kijiji cha Makurugusi wilayani Chato mkoani Geita,amehukumiwa kifungo cha miaka sita jela au kulipa faini ya shilingi milioni 10 baada ya kupatikana na hatia ya kumtukana…
TPA yaibuka kinara wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi kwenye sekta ya umma
Na Mwandishi Wetu Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imeibuka kinara wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi kwenye Sekta za Umma na hivyo kukabidhiwa tuzo kwenye kilele cha Maadhimisho ya kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Usalama na…





