Category: Habari Mpya
CCM Zanzibar yampongeza Rais Dkt.Mwinyi kupandisha viwango vya pensheni kwa wastaafu
NA IS-HAKA OMAR, JamhuriMedia, Zanzibar Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, kinampongeza kwa dhati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Mwinyi,kwa maamuzi yake ya kupandisha viwango vya pencheni za wastaafu pamoja pencheni jamii kwa wazee wenye umri wa…
Rais Samia aagiza waajiri kuwasilisha michango ya wafanyakazi Mifuko ya Hifadhi ya Jamii
Na Mwandishi Wetu, Morogoro Rais Samia Suluhu Hassan, ameagiza Waajiri kuwasilisha michango ya wafanyakazi kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii mara moja ili wapate stahiki na haki zao. Akihutubia kwenye maadhimisho ya sherehe za Mei Mosi Kitaifa 2023 Mjini Morogoro,…
Rais Samia: Wafanyakazi wana mchango katika ustawi wa taifa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wafanyakazi wakati wa Sherehe ya Mei Mosi ambazo Kitaifa zimefanyika katika uwanja wa Jamhuri Mkoani Morogoro tarehe 01 Mei, 2023. ……………………………………………………………………………….. Na Immaculate Makilika – MAELEZO…
Ajali zapungua kwa asilimia 61
Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani, SACP. Ramadhani Ng’anzi amesema katika kipindi cha miezi mitatu, kutoka Januari hadi Machi 2023 ajali za barabarani zimepungua kwa kiasi kikubwa kwa asilimia 61% huku akibainisha kuwa vifo vinavyotokana na ajali hizo vimepungua…
Chamwino kuinuka kwa utalii kwa kihistoria
……………………… Na Sixmund J. Begashe, JamhuriMedia, Dodoma Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Idara ya Mambo ya Kale imeendelea kuweka mikakati yake ya kuainisha maeneo ya Ķihistoria yaliyopo wilaya ya Chamwino kwa lengo la kuyatangaza kiutalii ili kwenda sambamba na…





