JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Rais amtengua Mkurugenzi Jiji la Mwanza

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Bw. Sekiete Yahaya Selemani, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza kuanzia tarehe 16 Aprili, 2023. Zuhura YunusMkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu

Serikali yafanya mageuzi makubwa shirika la TTCL

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dodoma Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imefanya mageuzi makubwa katika Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kwa kuhamishia shughuli zote za miundombinu ya Mkongo wa Taifa…

TANROADS ipo kazini kunusuru barabara ya Kimange-Chalinze

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia,Kibaha Mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali mkoani Pwani zimesababisha kumomonyoka kwa kingo za kalavati na barabara ya Kimange-Chalinze upande wa kutokea Dar es Salaam. Kutokana na athari hiyo kumesababisha miundombinu hiyo ya barabara kutokuwa salama kwa…

Madereva 109 wafutiwa madaraja ya leseni

Na Mwandishi Wetu-Jeshi la Polisi Jeshi la Polisi mkoani Arusha katika operesheni maalumu ya ukaguzi wa leseni za kuendesha vyombo vya moto na kuwafutia madaraja madereva 109 kwa kukosa sifa za madaraja hayo. Akitoa taarifa hiyo Kamanda wa Polisi mkoani…

Kampeni ya upandaji miti yawa kivutio iftar ya NMB bungeni

Kampeni ya Benki ya NMB ya kuongeza miti milioni moja katika ajenda ya serikali ya kuyatunza mazingira na kupambana na athari za tabia nchi imewakosha wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wakiongozwa na Spika Dkt.Tulia Ackson, wawakilishi…