Category: Habari Mpya
Wadau wa habari wawafuata wabunge Dodoma
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Baadhi ya wadau wa mchakato wa mapendekezo ya mabadiliko ya sheria ya habari wamewasili mkoani Dodoma kwa nia ya kukutana na wabunge ili kufafanua mapendekezo ya vipengele vya sheria viliyoachwa kwenye muswada wa habari uliowasilishwa…
Saudi Arabia yaondoa raia wake Sudan
Mapigano yameingia wiki ya pili nchini Sudan, kati ya wanajeshi wa serikali na wanamgambo wa RSF, ambayo yamesababisha watu zaidi ya 400 kupoteza maisha na maelfu kujeruhiwa. Licha ya pande zote kukubali kuacha mapigano wakati wa sikukuu ya Eid, wakabiliano…
Dkt. Mpango atoa wito kwa viongozi wa dini
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa waumini na viongozi wa dini hapa nchini kuendelea kuwaombea viongozi wa serikali ili waweze kuongoza taifa vile inavyompendeza Mungu. Makamu wa Rais amesema hayo leo…
Tanzania kushirikiana na Korea Kusini kujenga shule ya filamu
Na Shamimu Nyaki – WUSM Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Balozi Dkt. Pindi Chana amesema kuwa, Aprili 24, mwaka huu, Wizara kwa kushirikiana na Bodi ya Filamu inatarajia kusaini makubaliano Maalum (MoU) na Wataalam kutoka Korea Kusini kwa ajili…





