Katibu Mkuu wa CCM Komredi Daniel Godfrey Chongolo na ujumbeĀ  alioongozana nao Aprili 23, 2023 ameanza ziara katika Mkoa wa Hebei Kwa kutembelea Vijiji vinavyotekeleza Mpango wa kukuza Uchumi wa Wananchi na kupunguza umaskini Chini ya usimamizi wa Chama cha Kikomunisti cha watu wa Chin

By Jamhuri