Category: Habari Mpya
Makatibu wakuu wastaafu wapongeza kasi ya mradi wa umeme JNHPP
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Rufiji Makatibu Wakuu na Manaibu Makatibu Wakuu wastaafu waliowahi kuhudumu katika Wizara ya Nishati kwa nyakati tofauti wakiongozwa na Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu Mkuu wa Baraza la Mawaziri ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,Mhandisi Zena Ahmed Said…
Bima ya afya kwa wote kuanza kutumika Julai mwaka huu
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Serikali imepanga kuboresha huduma za afya ikiwa ni pamoja na kuhakikisha kuwa bima ya afya kwa wote inawafikia Watanzania wote. Hayo yamesemwa na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu wakati akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari mbalimbali…
Rais Samia aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu Dar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam Januari 23, 2023.
Uzalishaji umeme na gesi asilia waongezeka
Imeelezwa kuwa uwezo wa mitambo ya kuzalisha umeme iliyoungwa katika mfumo wa Gridi ya Taifa umeongezeka na kufikia megawati 1,777.05 Desemba 2022 sawa na ongezeko la asilimia 4.87, ikilinganishwa na megawati 1,694.55 zilizokuwepo hadi kufikia mwezi Septemba 2022. Aidha,katika kipindi…
Chaurembo: Rushwa ni kikwazo cha maendeleo
Na Veronica Mwafisi,Dodoma Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa,Abdallah Chaurembo ameitaka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kutoa mafunzo kwa watendaji wa kata kuhusu utekelezaji wa Programu ya TAKUKURU RAFIKI ili…





