Category: Habari Mpya
Lutumo afunga mafunzo ya utayari awamu ya tatu kwa askari
Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Pwani Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani,Kamishna msaidizi Pius Lutumo ,amefunga mafunzo ya utayari awamu ya tatu kwa askari wa mkoa na wilaya huku akiwaasa kubadilika kwenye utendaji wa kazi zao kupitia mafunzo waliyopatiwa. Mafunzo hayo yalifanyika kwenye…
Shaka akabidhi ofisi rasmi kwa Mjema
Picha mbalimbali zikionesha matukio mbalimbali ya makabidhiano ya ofisi baina ya Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Sophia Edward Mjema na aliyekuwa Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka Januari 21, 2023 Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya…
Prof.Lipumba:Mfumuko wa bei ya vyakula unawatesa wananchi
Na Mussa Augustine,JamhuriMedia Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF),Profesa Ibrahim Lipumba amelitaka Baraza Kuu la Uongozi Taifa la chama hicho kujadili na kuweka mapendekezo yenye tija ya namna ya kudhibiti hali ya mfumuko wa bei ya vyakula nchini. Profesa Lipumba…
‘Kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi si jukumu la wizara pekee’
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Balozi Dkt.Batilda Burian amesema suala la kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi na watoto wachanga sio jukumu la wizara ya Afya pekee hivyo ni muhimu kila sekta kuweka mikakati ya pamoja. Balozi Burian amebainisha hayo mkoani…
CCM yatoa wiki moja walimu
wote wapate vishikwambi
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimetoa wiki moja kwa Wizara ya Elimu kuanzia leo Januari 20, 2023, kuhakikisha vishikwambi vilivyotolewa na Serikali kwa ajili ya walimu vinawafikia walengwa. CCM Imesema imepokea malalamiko ya kutotekelezwa kikamilifu kwa maelekezo ya Waziri Mkuu, Kassim…
Baraza la biashara Kibaha laonyesha mwanga wa mafanikio
Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Kibaha Wawekezaji na wafanyabiashara wameaswa kuwa wazalendo kwa kulipa Kodi na kuwasilisha taarifa sahihi za biashara zao ili kuiwezesha Wilaya kupata Mapato yatakayotumika kujenga miundombinu na Maendeleo mengine Kisekta Rai hiyo imetolewa Muhammad Tundia ambaye ni Mwenyekiti za…





