JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Watu watatu wamefariki dunia wakiwemo wanandoa ambao ni askari polisi Mkoa wa Arusha, Noah Semfukwe (30) na Agnes Kiyeyeu (27), katika ajali ya gari iliyotokea eneo la Tanangozi, nje kidogo ya Manispaa ya Iringa siku ya Jumanne, Desemba 20, 2022….

Tanzania yaandika historia ujazaji maji Bwawa la Mwalimu Nyerere

Maelfu ya wananchi wa mikoa ya Pwani, Morogoro na Dar es Salaam wamejitokeza katika zoezi la kuanza ujazaji wa maji kwenye Bwawa la Mwalimu Nyerere (JNHPP), lililopo wilayani Rufiji mkoani Pwani. Zoezi hilo la ujazaji maji linazinduliwa leo na Rais…

Nchi ipo salama mikononi mwa Rais Samia’

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Lailah Ngozi, amewataka Watanzania kuendelea kumwamini Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwa, nchi ipo kwenye mikono salama. Ametoa kauli hiyo ikiwa ni siku moja…

HaloPesa yazindua “Shinda Tena na Halopesa’

Na Mwandishi Wetu HALOTEL ikiwa kampuni inayosifika nchini kupitia huduma zao za kifedha za HaloPesa, inaendelea kuwahamasisha wateja wao kwa kuleta huduma za ubora na zenye ubunifu, na wakizindua kampeni ya Shida Tena na Halopesa leo. Wakiwa kampuni inayokua kwa…