Category: Habari Mpya
Majaliwa amwakilisha Rais Samia kumjulia hali Lowasa
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemwakilisha Rais Dkt.Samia Hassan Sululu kumjulia hali Waziri Mkuu Mtsaafu Edward Ngoyai Lowassa anayeendelea na matibabu Afrika Kusini. Akizungumza na wana familia kwa niaba ya Rais Samia, Waziri Mkuu amewasilisha salamu za pole kutoka kwa rais na…
Mali za mtoto wa aliyekuwa Rais wa Angola dos Santos zashikiliwa
Mahakama ya Juu ya Angola imeamuru kuwekewa”kizuizi” kwa mali zenye thamani ya karibu dola bilioni 1 zinazomilikiwa na Isabel dos Santos, binti wa rais wa zamani wa nchi hiyo ya kusini mwa Afrika, shirika la habari la Lusa la Ureno…
Waliomzika mtoto akiwa hai wapandishwa kizimbani
Watu watatu akiwemo mama mzazi wa mtoto Zawadi Msagaja (20) na mkazi wa kijiji cha Mahaha wilayani Magu mkoani Mwanza, wamepandishwa kizimbani kwa tuhuma za kumuua mtoto wake wa kike kwa kumzika akiwa hai ili wapate mali. Wengine waliofikishwa katika…
Waziri Mabula asherehekea sikukuu kwa kukabidhi zawadi
Na Hassan Mabuye,JamhuriMedia,Dodoma Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Angeline Mabula amesherekea siku kuu ya Krisimasi na wagonjwa kwa kula nao chakula pamoja na kukabidhi zawadi za Krisimasi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma. Waziri…
Polisi:Disko toto marufuku kipindi hiki cha sikukuu
Kuelekea msimu wa sikukuu ya Krismasi na Mwaka mpya Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga limepiga marufuku kuwepo kwa Disko toto huku likiagiza kufungwa kwa baa zote baada ya saa sita usiku, isipokuwa zile zenye vibali maalum. Akizungumzia hali ya…





