JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Waziri Jafo awataka wananchi kutunza miradi

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Dkt. Selemani Jafo amewataka wananchi kutunza miradi inayotekelezwa na Serikali ili iweze kuwanufaisha katika kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi. Ametoa wito huo wakati akizindua miradi ya visima…

Ruvuma yakamilisha ujenzi wa madarasa 156

Na Albano Midelo,JamhuriMedia,Ruvuma Serikali mkoani Ruvuma imekamilisha mradi wa ujenzi wa madarasa 156 pamoja na samani zake katika shule za sekondari yaliyogharimu shilingi bilioni 3.1.  Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amesema serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa…

Waziri Ummy afanya ziara ya kushtukiza Hospitali ya Mwananyamala

Katika muendelezo wa ziara za kushtukiza, Waziri wa Afya,Ummy Mwalimu leo amefanya ziara ya kushtukiza katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwananyamala kukagua utoaji wa huduma, kusikiliza, kero, ushauri na maoni ya wananchi wanaopata huduma za matibabu katika Hospitali…

Kairuki awataka machifu kuhimiza jamii kulinda miradi ya maendeleo

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Same Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Angellah Kairuki amewataka machifu ambao ni viongozi wa kimila kuhamasisha jamii kulinda miundombinu ya miradi ya maendeleo. Waziri Kairuki ametoa wito huo wakati akisimika…

KM 32 Wilyani Kyela kujengwa kwa lami

Serikali imesema itaendelea kutekeleza Sera yake ya kuunganisha mkoa kwa mkoa na wilaya kwa wilaya kwa barabara za lami ili kurahisisha usafiri na usafirishaji wa abiria, mazao na malighafi mbalimbali ili kukuza uchumi kwa haraka. Akizungumza wilayani Kyela wakati wa…

Ruvuma yakusanya mapato kwa asilimia 110

Mkoa wa Ruvuma umeweza kukusanya mapato kwa asilimia 110.8 katika mwaka 2021/2022.  Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amesema katika kipindi hicho Halmashauri zote nane zimeweza kukusanya mapato ya zaidi ya shilingi bilioni 21 kati ya lengo la…