Category: Habari Mpya
Ajali yaua watu sita wa familia moja wakitoka kula sikukuu
Watu sita wa familia moja akiwemo baba, anayejulikana kwa jina la Khumbulani Togara, mama na watoto wao wanne, akiwemo kichanga, wanaripotiwa kufariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea siku ya Boxing Day, Desemba 26, 2022. Ajali hiyo iliyozua gumzo kubwa…
Mpango awaasa Watanzania kudumisha amani
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Philip Mpango pamoja na mkewe Mama Mbonimpaye Mpango leo tarehe 1 Januari 2023 wameungana na waumini wa Kanisa Katoliki Parokia ya Yohane Bosco iliopo Miyuji mkoani Dodoma katika Ibada ya Misa…
TANROADS:Daraja la Tanzanite kufungwa kwa siku 8
Wakala ya Barabara (TANROADs) Mkoa wa Dar es Salaam imetangaza kufungwa kwa Daraja la Tanzanite kwa muda wa siku 8 ili kupisha maboreshna kuweka nembo ya Tanzanite katika daraja hilo. “TANROADS inawatangazia watumiaji wa Daraja la Tanzanite kuwa daraja litafungwa…
Wakazi Arusha wahimizwa kutunza amani ambayo ndiyo kitovu cha utalii
Na. Abel Paul wa Jeshi la Polisi Wananchi wa jiji la Arusha wamehimizwa kutunza amani na utilivu wa jiji hilo ambalo Lina sifa ya kupokea wageni wengi kutoka ndani na nje ya nchi ikiwa ni sifa ya kuwa na amani…
Papa Benedict wa XVI afariki Dunia akiwa na umri wa miaka 95
Papa Benedict wa XVI amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 95 katika makazi yake huko Vatican Roma. Vatican imetangaza kifo hicho kupitia mitandao ya kijamii leo Desemba 31, 2022 na kusema kuwa taarifa na ufafanuzi kamili utatolewa hapo baadaye….
Simba wafunga mwaka kwa kishindo,yaipiga wiki Prison
WENYEJI, Simba SC wamefunga mwaka vizuri baada ya ushindi wa mabao 7-1 dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Mshambuliaji na Nahodha, John Bocco amefunga mabao…





