Category: Habari Mpya
Pwani yadhamiria kufungua mtandao wa barabara zaidi
Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Pwani Mkuu wa Mkoa wa Pwani,alhaj Abubakar Kunenge ameeleza nia ya mkoa huo ,ni kuendelea kufungua mtandao wa miundombinu bora ya barabara inayoakisiana na kasi ya uwekezaji iliyopo mkoani humo. Aidha ameeleza, nia ya mafanikio hayo itawezekana endapo…
Biteko asisitiza wachimbaji kuzingatia sheria
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Geita Waziri wa Madini,Dkt.Doto Biteko amewasisitiza wachimbaji wa madini nchini kuzingatia Sheria, Kanuni, Taratibu na Miongozo inayosimamia Sekta ya Madini ili wachimbe rasilimali hiyo kwa manufaa ya wachimbaji na jamii kwa ujumla. Dkt.Biteko amesema hayo Januari 3, 2023…
DC Moyo apiga marufuku kampuni za ulinzi kuajiri wasiopitia mafunzo
Na Fredy Mgunda,JamhuriMedia,Iringa Serikali ya Wilaya ya Iringa imezitaka kampuni za ulinzi kuajiri wafanyakazi waliopitia mafunzo ya kijeshi ili kuboresha ufanisi wa kazi katika sekta ya ulinzi wa mali za UMMA, serikali,watu binafsi na mashirika binafsi. Akifunga mafunzo ya jeshi la…
LATRA yaweka wazi nauli za mabasi ya mwendokasi,pikipiki
Mamlaka ya Udhibiti wa usafiri Ardhini (LATRA), imetangaza nauli mpya za mabasi ya Mwendo kasi yanayofanya kazi zake jijini Dar es Salaam huku ikijiandaa kupanga nauli za treni ya mwendokasi (SGR) Akitangaza nauli hizo mbele ya waandishi wa habari jana…
Rais Samia: Sasa rukhsa kufanya mikutano ya hadhara
Hatimaye kilio cha wanasiasa cha muda mrefu kimepata ufumbuzi baada ya Serikali kuruhusu kuanza kwa mikutano ya hadhara ambayo itazingatia sheria za nchi. Akizungumza na viongozi wa vyama 19 vya siasa leo Januari 3,2023, Rais Samia amesema kuwa amefurahishwa na…





