MWAKA MMOJA MADARAKANI… Rais Mwinyi kuwalipa waliotapeliwa ‘DECI’

ZANZIBAR Na Mwandishi Wetu Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameahidi kuwalipa watu waliotapeliwa mabilioni ya fedha kwa njia ya upatu. Akizungumza wakati wa maadhimisho ya mwaka mmoja wa uongozi wa Awamu ya Nane ya Zanzibar (SMZ), Mwinyi anasema utapeli huo uliofanywa na Kampuni ya Masterlife umeathiri sana…

Read More