JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Habari Mpya

Ndege ya ATCL yashikiliwa Uholanzi

Serikali imekiri kushilikiwa kwa ndege Airbus A220 tangu Januari kwenye kiwanja cha ndege cha Maastricht Aachen nchini Uholanzi. Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dk Eliezer Feleshi amesema kuwa ndege inashikiliwa baada ya mwekezaji wa Kiswidi kushinda tuzo ya dola za kimarekani…

Kiwango cha maambukizi ya ugonjwa Ukimwi Pwani chapungua

Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Pwani  Kiwango cha maambukizi ya ugonjwa wa Ukimwi na vifo vitokanavyo na ugonjwa huo ,mkoani Pwani kimeshuka kutoka asilimia 5.9 hadi kufikia asilimia 5.5. Akitoa hali ya kiwango Cha maambuzi ya ugonjwa huo, katika maadhimisho ya siku ya Ukimwi…

Brrick Bulyanhulu yaungana na Serikali kuadhimisha siku 16 za kupinga ukatili

Mgodi wa Barrick Bulyanhulu uliopo mkoani Shinyanga umeungana na Serikali na wadau wengine kuadhimisha siku 16 za kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia ambapo umeandaa kampeni ya kutoa elimu dhidi ya vitendo hivyo katika shule za msingi na sekondari zilizopo…

Waziri Mabula asikitishwa na watendaji sekta ya ardhi Iringa

Na Munir Shemweta,JamhuriMediaIringa Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amesikitishwa na watendaji wa sekta ya ardhi katika halmashauri za Manispaa na Wilaya ya Iringa kwa kushindwa kutekeleza majukumu yao ipasavyo na kusababisha halamshauri hizo kushindwa kukusanya…

Haya hapa matokeo darasa la saba 2022

Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) leo Desemba 1, 2022 limetangaza matokeo ya darasa la saba kwa mwaka 2022 ambapo limetangaza kufuta matokeo yote ya Watahiniwa 2194 sawa na asilimia 0.16 ya Watahiniwa 1,350,881 waliofanya mtihani ambao wamebainika kufanya udanganyifu…